Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
Viva arsenal 🔥
Hii game Away au Home?Ndio nmerudi nymbn baada ya game mazee
View attachment 3591502
Te amo mucho😍bwana akutangulie
haya mama kipesire, uniunge chamaniVijana wangu hao mkuu
watakula wapi mkuuAisee siwapendi UMBU.
Afande legeza kamba.bwana akutangulie
Afande anazurura na moyo wangu atakavyo, anaingia nao hadi lindoni😍Afande legeza kamba.
Muambie akupe namba ukiona majambazi utamtafuta😆Afande anazurura na moyo wangu atakavyo, anaingia nao hadi lindoni😍
Nampenda sana ni mtu powa sana japo alizngua kugombana na feli. Itakua kuna watu walimchochea tu.
Mdogo wangu ndio maana nakukubali Sana, unanisaidia kwa kupiga mi assist ya maana.Muambie akupe namba ukiona majambazi utamtafuta😆
Afande anakuambia ni millenial baddie kama nicki minaj utamuweza huyo?😅Mdogo wangu ndio maana nakukubali Sana, unanisaidia kwa kupiga mia assit ya maana.
Hapa kwa afande akizingua ndio mwisho sitakuja kupenda tena☹️
niko salama chiefHeshima yako chief.
Chief waache wasome.
Tunawezana vizuri tu, ana swaga flan hivi za miaka ya mbele🤣🤣Afande anakuambia ni millenial baddie kama nicki minaj utamuweza huyo?😅
hahaa ila JF bwana...
AgreeBe youself, everyone else is already taken!