Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
02:37
Wewe kweli bundi.00:24 intelli style
Usingizi haupendi tuwe marafiki, au labda ni mimi ndio nakosea formula za kuutafuta?Wewe kweli bundi.
Acha kupanda na simu kitandani.Usingizi haupendi tuwe marafiki, au labda ni mimi ndio nakosea formula za kuutafuta?
Simu naweka charge, taa nazima, laptop nazima.Acha kupanda na simu kitandani.
Mtoe paka mweke mtu. Shida ndio inaanzia hapo ujue. Hhahaaha. Btw ukizima vyote jf unaingiaje?Simu naweka charge, taa nazima, laptop nazima.
Kitandani niko mimi,paka wangu na kitabu tu.
Nikizima ndio imeisha hivyo, kuhusu mtu nili jaribu akasema tumtupe huyo paka.Mtoe paka mweke mtu. Shida ndio inaanzia hapo ujue. Hhahaaha. Btw ukizima vyote jf unaingiaje?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Naona uliamua mtupa mtu.Nikizima ndio imeisha hivyo, kuhusu mtu nili jaribu akasema tumtupe huyo paka.
woii just guess what happened next 😂
Sikupewa option nyingine zaidi ya kuambiwa nichague baina yao.🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Naona uliamua mtupa mtu.
Ulifanya chaguzi sahihi. Akome kujipa umuhimu. HahahahaSikupewa option nyingine zaidi ya kuambiwa nichague baina yao.
Ukizingatia paka sio wa siku 1, wiki, mwezi au mwaka 1, she's my family.
wewe mbona hulali?, usiseme night shift!Ulifanya chaguzi sahihi. Akome kujipa umuhimu. Hahahaha