Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
00:02 intelli fvckin world
Una hela?Watoto 17, ada inaninyima usingizi kweli; waswahili wanasema dawa ya moto ni moto, hapa nataka nipambane mwaka huu niwe na watoto 30. Wakulungwa hapo vipi?
Leo umelala hadi umepitiliza03:03
Hofu yako tu, mi niko gado.Leo umelala hadi umepitiliza
We mwenyewe level zako za kulala ni extra ordinaryDah. Level zako za kukesha zipo juu sana sikufikii.
Hivi humu si inabidi watu wawe wanachat usiku wa manane. Au?Kwema humu
Nina usingizi mnono sana. Ningeweza ningekupunguzia.We mwenyewe level zako za kulala ni extra ordinary
Usiku teyari anko 😃Hivi humu si inabidi watu wawe wanachat usiku wa manane. Au?
Ila sio wa manane bana😇Usiku teyari anko 😃