mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,807
Naogopa ngwengweNakesha nikiwa Makao makuu ya nchi yangu pendwa.
Pita picnic, kamata demu wa kuupasha mwili jotoš
Naogopa ngwengweNakesha nikiwa Makao makuu ya nchi yangu pendwa.
Pita picnic, kamata demu wa kuupasha mwili jotoš
Kabisa.Umeonae! Bahati mbaya neno nigejua huja baada ya!
Ningejua ningefanya hivyo leo nisingekuwa hapa.
ili iweje sasaNa jua mnatucheke wenye ndoa tunavyo lizwa na ndoa zetu
Unakuwa makini tu mpwa.Naogopa ngwengwe
Hahaha kuna karibia kuchwa kwetu wengine.hakujacha
Jamani šŖšŖHahaha kuna karibia kuchwa kwetu wengine.
wacha nikae macho nione wanavyosemaga wachawi wanapita usiku ni kweli au laUnakuwa makini tu mpwa.
Ila uoga wako ndio pona pona yako.
Vuta duvet, kumbatia mto....chapa ilaleeeeš
Weweeee.wacha nikae macho nione wanavyosemaga wachawi wanapita usiku ni kweli au la
unawaogopa?Weweeee.
Acha hizo.
Watakujia kweli.
Hawataniwi hao
Wewe ukilala mtupu ndio wanakuja na sio wao wakija watupuunawaogopa?
nasikia wanakuja uchiš
waje tupeane joto