Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,439
Hahaha
We kakojoe ulale, 😂🤣Kuruti mnalala sana
Wacha mbwembwe, ulikuwa ume Zima mkuu😆03:25 Nipo mzee
Nilikuwa Doria majukwaa mengine 😬Wacha mbwembwe, ulikuwa ume Zima mkuu😆
Chai 😆🤣Nilikuwa Doria majukwaa mengine 😬
Wapi huku kunaitwa?and 100 others tume rudi Huku😆😂
Usiku wa mananeWapi huku kunaitwa?
Mbona huku nilipo ni mchana kiongozi?Usiku wa manane
Ishi na jina la Uzi tu, kama vipi ukija njoo na Glock 17 au 34 😂🤣Mbona huku nilipo ni mchana kiongozi?