KYAMBOGO MP
Member
- Sep 10, 2024
- 13
- 22
04:15
04424:05
Na kwako pia0507
Kumekucha, siku njema wote
Nalala nikiwa Sentry, nikiwa GComnd Silali. Ndo kazi yangu😂😂Wewe dada fake p hulalagi
Ushaniacha kwenye mataaNalala nikiwa Sentry, nikiwa GComnd Silali. Ndo kazi yangu😂😂
Nikiwa mdogo kwenye ulinzi nalala nikiwa mkubwa Silali. 🤸😁. Hapo vipi nimecome come ??Ushaniacha kwenye mataa
Kwa mbali nimeelewa ila sijaelewa mm slow learnerNikiwa mdogo kwenye ulinzi nalala nikiwa mkubwa Silali. 🤸😁. Hapo vipi nimecome come ??
Sasa wewe dogo hulali sisi wazazi wako tutatafuta mdogo ako saa ngapiNikiwa mdogo kwenye ulinzi nalala nikiwa mkubwa Silali. 🤸😁. Hapo vipi nimecome come ??
Sawa subiri nikutafutie msaada wa picha.Kwa mbali nimeelewa ila sijaelewa mm slow learner