Super mega
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 1,176
- 2,364
😥😥Itakua Kuna mtu amekuaga usiku mwema sasa hivi.Leo mapema tu nimetia timu mpaka alfajili na sign out
Hapana sio kweli niko singo ndugu.😥😥Itakua Kuna mtu amekuaga usiku mwema sasa hivi.
Lugha gonganaUnautaka hapo mbele? 😏😏😏
😂😂 huyo Mamchagaa ameshiba mbege namcheulisha tuLugha gongana
Wewe dada fake p hulalagi😂😂 huyo Mamchagaa ameshiba mbege namcheulisha tu
Pole bro, muhimu focus kwenye paa positive issues utapata usingiziUsingizi umekata jamani,bahati mbaya sina hata kiporo cha Gin
Mi hata punje ya usingizi hamna nimeshapita majukwaa yote sioni hata Cha kusoma, najaribu kuangalia movie lkn holaaa sielewi....na kati kati ya week siwezi chapa Rivella, gin Wala kisungura 😁Usingizi umekata jamani,bahati mbaya sina hata kiporo cha Gin
Pokea tu broMimi kuna video call inaingia hapa telegram jina tapan mistri afu simuji nimeamua kukata aisee usiku wote huu
Tafuta movie ulio wahi angalia ikakuvutia na kusisimua uirejeee uta enjoy naaminiMi hata punje ya usingizi hamna nimeshapita majukwaa yote sioni hata Cha kusoma, najaribu kuangalia movie lkn holaaa sielewi....na kati kati ya week siwezi chapa Rivella, gin Wala kisungura 😁
Kushtua utumbo kidogo,Kuamka Asubuh na mapema ni sheriaMi hata punje ya usingizi hamna nimeshapita majukwaa yote sioni hata Cha kusoma, najaribu kuangalia movie lkn holaaa sielewi....na kati kati ya week siwezi chapa Rivella, gin Wala kisungura 😁
Inaonekana ni mdada wa kihindi ujue hadi nimeogpa wasije wakawa majjni mkuuPokea tu bro
Movie nimepiga chini hua napenda nyimbo za wakongo at least zinanipa kampanTafuta movie ulio wahi angalia ikakuvutia na kusisimua uirejeee uta enjoy naamini
Aisee,Nimejaribu wapi ,Yanga kachana mkeka wangu sina hamu.Pole bro, muhimu focus kwenye paa positive issues utapata usingizi
We jamaa hapa nimeshtushwa na video call ya mtu nisyemjua telegramMovie nimepiga chini hua napenda nyimbo za wakongo at least zinanipa kampan
Tatizo mi nikipiga maji siku ya pili nakua kama naumwa hivi ndo maana nategezea ijumaa jioni au jmos ndo nalipukaKushtua utumbo kidogo,Kuamka Asubuh na mapema ni sheria