😂Mimi sijalala, sasa na wewe unafanya kazi usiku auKuwa tajiri ni kazi, mtu hupati usingizi kabisa.....bora yenu nyie masikini mnasinzia.
3:11 sijafumba jicho 😔
Bro binti kiziwi unaota??
Napiga hesabu za utajiri wangu😹😂Mimi sijalala, sasa na wewe unafanya kazi usiku au
Bado niko macho natafuta .....Kuwa tajiri ni kazi, mtu hupati usingizi kabisa.....bora yenu nyie masikini mnasinzia.
3:11 sijafumba jicho 😔
Bro binti kiziwi unaota??
Tumia calculator umalize mapema upumzike...Napiga hesabu za utajiri wangu😹
Utajiri wangu ushavuka huko level za calculator 😹Tumia calculator umalize mapema upumzike...
Upo level gani? Au unatoa kafala usiku wa manane 😂Utajiri wangu ushavuka huko level za calculator 😹
Hahahaha 🤣 😂 😂 😂 mkuu mimi nilikuwa naenda chooni kukojoa, naingia chooni tu hivi naskia mtu nyuma ya ukuta anapanda kuruka ukuta, na vishindo vya mtu mwenye kilo zake naviskia kabisa, alafu eti alipofika ukutani ni paka kubwa jeusi 😂 nikaona isiwe tabu3:30AM
Natoka zangu home niende kiwanja, nimepishana na pisi kama 3 zimelewa vibaya mnoo.
Nimeona isije kuwa mtego nimerudi ndani kusikilizia kama sio majambarika.
Hallelujah!!!
Nipo kundi la kina Mo....Upo level gani? Au unatoa kafala usiku wa manane 😂
Joke