Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,784
- 22,105
Wakatu huu tukiwa tumepumzika, tuwakumbuke na kuwaombea waliopo mahospitalini pamoja na madaktari wanaopambania uhai wao.
mkuu upo wapi hukoo?2213
Pole Mkuu.01:15 Sipati Usingizi Kabisa Jamani, nikilala hata dakika ishirini kausingizi kakianza mwili unapooza na kulegea kama naparalyse moyo unashtuka hivyo nalazimika kubaki hivyo macho bila kulala
Ni wapi hii Mkuu?11:17 PM
Hope naskia baridi0207+
Baridi ya wapi?jifunike kwa zulia gubigubiHope naskia baridi
Sio huko juuHuku hivi....
Huku chini
Njoo unipe jotoSio huko juu
Wewe mtoto utalaaniwaNjoo unipe joto