JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ntawagei mwisho wa mwez, tarehe za mwanzo hizi bhn😂
Sasa mi sielewi nakuta mmama kavaa shart la blue et oooh sijui kama ww ni raia toa 5k kama mwanafunzi toa 2k nikabaki nacheka tuu...
Sasa mimi na taka wapi na wapi mweeeh 😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom