Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 10,629
- 23,203
karibu,,ulaya huku kumekucha vipi huko vingunguti0304+
karibu,,ulaya huku kumekucha vipi huko vingunguti0304+
Watu hawana huruma aisee 😔oooh wajameni hadi wewe katuni wa jf
Huku bongo ni mbu wanatushangilia tyukaribu,,ulaya huku kumekucha vipi huko vingunguti
Nimelia hadi kamasi,,na huo mwili si uta disappear 😥Watu hawana huruma aisee 😔
Dah ngoja nipambane tuu aiseeNimelia hadi kamasi,,na huo mwili si uta disappear 😥
kuna zile net za blue kijani tuliwapa vipi hujafikiwa nazo?Huku bongo ni mbu wanatushangilia tyu
Hebu niletee wanaokupa mawazo niwape na wao,, itapendeza wakiwa wanaumeDah ngoja nipambane tuu aisee
Em njoo PM nikupe orodha yao 😔Hebu niletee wanaokupa mawazo niwape na wao,, itapendeza wakiwa wanaume
nna taarifa zako,,wewe ni kibaka, vichochoron siji kamweEm njoo PM nikupe orodha yao 😔
Zile tulizifanyia mabanda ya kuku kiongozi😂😂kuna zile net za blue kijani tuliwapa vipi hujafikiwa nazo?
na wigo wa bustani kuku wasivamie sio😂😂🙆🏾mnadharau sana wa tzZile tulizifanyia mabanda ya kuku kiongozi😂😂
Dah wabaya wangu wamekulisha sumu😂nna taarifa zako,,wewe ni kibaka, vichochoron siji kamwe
ukaamua ulale uje uamke saa kumi na moja mxiuuu 😂Dah wabaya wangu wamekulisha sumu😂
Kama ww ulivyoamua kuamka saa mbili unusu asubuhi 😎ukaamua ulale uje uamke saa kumi na moja mxiuuu 😂
woooiii 😂🙆🏾Kama ww ulivyoamua kuamka saa mbili unusu asubuhi 😎
UKNi wapi hii Mkuu?