Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,900
- 82,141
Tukiwa na tapa talk tuna angalia vizuri tuTo yeye naomba niekeze tena namna ya kulock account yangu kama hivi...
Tukiwa na tapa talk tuna angalia vizuri tuTo yeye naomba niekeze tena namna ya kulock account yangu kama hivi...
Marahaba,hujamboPoa shikamoo...
Hello 🤩😍Marahaba,hujambo
Unaendeleaje?Hello 🤩😍
Vizuri sana yaani 😎Unaendeleaje?
Sijambo, unaendeleajeMarahaba,hujambo
Ndio, ofcoz mtu kama una mawazo au hofu huwezi kupata usingizi... Na ukipata ni usingizi wa kusua sua mara ushtuke...Hivi kuna uhusiano wowote kati ya afya ya akili na kukosa usingizi
Vijana wadogo kwa nini mnakosa usingizi?
Kwa sababu tunalala mchana... Usiku tunafanya kazi ubongo ukiwa active zaidi...Vijana wadogo kwa nini mnakosa usingizi?
Apo sawa.Kwa sababu tunalala mchana... Usiku tunafanya kazi ubongo ukiwa active zaidi...
Hatuna pesa masterVijana wadogo kwa nini mnakosa usingizi?