Marchey
Senior Member
- Jul 17, 2024
- 171
- 359
Naomba ustop hizo topicKwa nini hukuogopa kuzaliwa 😁😁
Naomba ustop hizo topicKwa nini hukuogopa kuzaliwa 😁😁
Mipango yenyewe ipo sasa ??Huu muda tulivu ndio ufikirie vizuri na kupanga mipango vizuri
Haaa matesoMipango yenyewe ipo sasa ??
Napangaje mipango na nilipo panga nasikia saut za jiran akilima wa watoto.
Good Vin. Salamalekoo
Good morning enzo akeee! Ndio naamka
Good morning Cassano'...!!
Ndo mimi hapa mkuu .Amna... Poor brain simjui hata...
Aleykum selam kwema 😎Good Vin. Salamalekoo
Good morning mkuu
Amen 🙏Good morning Cassano'...!!
May God's undoubtedly blessings be upon you..!!🙏
😎😎😎Ok wasalimie sana lindiGood morning enzo akeee! Ndio naamka
Kwema kakaGood morning mkuu
Sawa kabisa, sorry una umri gani mkuu... Au range ya umri wako ni ipi?Ndo mimi hapa mkuu .
Fanya tujuane sasa
Meditation... Meditation which?Kulala ni muhimu mno au ukikosa usingizi kabisa una amka una fanya meditation inakupa utulivu wa akili vizuri.
Naombeni site ya kudownload full movie za makampuni makubwa kama universal pictures etc