CDF1:58
Kunywa coca cola muda huo huo lamba na chumvi kidogo hautaenda tena huko unakoenda...Namsikilizia wife anakoroma tu hapa pembeni yangu...mie tangu saa tatu usiku tumbo linanipigisha marktime kadhaa za maliwatoni...mpaka dakika hii nshagonga safari za toileti kama 4 hivi
hii ni kweli mkuu..?Kunywa coca cola muda huo huo lamba na chumvi kidogo hautaenda tena huko unakoenda...
Dah sjamaanisha hivyo . Nmemaanisha huu I'd ya Poor Brain ni ya kwako?Yeah... Huwa inanibidi nipitie japo mara moja ndio nielewe... Siwezagi elewa once sir akifundisha...