100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,179
- 36,375
Walinzi wenzangu naomba tujuane na kila mmoja akiandika saa, aambatanishe na eneo husika la lindo.
tuanze na weweWalinzi wenzangu naomba tujuane na kila mmoja akiandika saa, aambatanishe na eneo husika la lindo.
Natania mkuu 😀tuanze na wewe
Wapi huko. Hujabeba utawalalindo la huku ni hatare yaan kuna baridi kali
mbeya mkuuWapi huko. Hujabeba utawala
Ongeza utawala. Mlinzimbeya mkuu
Amelegeza mwili. Akili. Hadi buti. Eneo la ulinzi yupo half KombatiKatika pita pita zangu za hapa na pale.
View attachment 3032937
haahahahhaha anasubiri kukuche kwa hamuKatika pita pita zangu za hapa na pale.
View attachment 3032937
ilibidi nim snap, sasa unge kuwepo alikua ana koroma tu kama gari... 🤣Amelegeza mwili. Akili. Hadi buti. Eneo la ulinzi yupo half Kombati
sidhani kama hayo yalikua ni maji, itakuwa vibe... si unajua vijana tena.h
haahahahhaha anasubiri kukuche kwa hamu