JamiiForums Usiku wa manane

Tuko st Peter tayari toka SAA kumi na moja
Kwakua najua siku za siku kuu kama hivi hata wale ambao hawaendagi kanisani leo wanaenda hivyo nimewahi kiti mapemaaaa kuhofia kusimama kutokama na watu kiwa wengi kanisani leo
 
Kwakua najua siku za siku kuu kama hivi hata wale ambao hawaendagi kanisani leo wanaenda hivyo nimewahi kiti mapemaaaa kuhofia kusimama kutokama na watu kiwa wengi kanisani leo
Hahaha ,nami hivyo hivyo nimewahi kiti mapema
 
Mapopo ambao mmejipumzisha sahizi maana tangu Jana hamjalala karibuni breakfast
 
Naona unataka mwenzako na yeye aanze kushinda kwenye bar nakuvizia ofa, huyo ni pepo na namkemea kwa nguvu zote[emoji125]
Ati nini? Anza kujikemea wewe uliyeenda kuvizia ofa za mbege kishumundu [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Msalimie jje's mwambie salamu ni nusu ya kuonana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…