Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Me find it funny, when I see new crazy cats making noise at the lion.
Wanawake walivyo wengi hivi? Tafuta mmoja mkubaliane then muanze maisha. Mbona simpleKwanini niruke stage 😆🤓, mchumba tu Sina. Hiyo kuoa SI ndo nita leta jehanam home🤣.
Shida Hawa kubali prenup agreement 😆😆.Wanawake walivyo wengi hivi? Tafuta mmoja mkubaliane then muanze maisha. Mbona simple
Mkubwa sema Jambo😆🤣Hili swali limekaa kimkakati sana 😂🙌
Mtag yule mzee Grahams ana mengi ya kusemaMkubwa sema Jambo😆🤣
Acha Sera😆🤣Mtag yule mzee Grahams ana mengi ya kusema
Manyanyaso ya kuwa baned nishayaacha...Mi sipendi dharau Poor Brain
Bora ugali dagaa kwenye amani, kuliko wali nyama wenye ban😆🤣Manyanyaso ya kuwa baned nishayaacha...
Masimango hapana..
Usinipande kichwani....
😂😂😂😂
Jamaa Mara ya mwisho niliona anatumikia kifungoMi sipendi dharau Poor Brain
Sasa hivi kuna mpya hiyo wansema usinioande kichwani....Bora ugali dagaa kwenye amani, kuliko wali nyama wenye ban😆🤣
Ame achiwa 😆🤣Jamaa Mara ya mwisho niliona anatumikia kifungo
Miaka 2 ita kuwa mbaya sana??, na mahari huwa ngapi??Uchumba inategemea
Miaka ya zamani Uchumba ilikuwa Mwaka mmoja ama miezi tu
Miaka 2 ya Uchumba sio mbaya iwapo sababu zinajulikana.Miaka 2 ita kuwa mbaya sana??, na mahari huwa ngapi??
Tuanzie hapo kwenye ku onja onja, mbona wengi wamesha onjwa Sana😆🤣.Miaka 2 ya Uchumba sio mbaya iwapo sababu zinajulikana.
Ila Kiutaratibu hutakiwi kuanza kumuonja onja huyo Bibie hadi mbariki Ndoa kabisa.
Unaweza kumuonja onja ukamjaza Kitambi then ukajikuta anaharibu Mipango.
Suala la mahari nafikiri linazungumzika, ongea na huyo Mchumba ako umueleze ungeweza kumudu kulipa kiasi gani
Vinginevyo unaweza kujikuta unalipa milioni 10 😜🙌