Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
See you are what you are in this world, either somebody or nobody.
Duh..aise ..kwahiyo wewe ni mmoja wao ?😁😁😁😁😅😂😂😂Kuna bosi kampelekea umbea mtoto wa kike inbox 😁😁😁😁
Hawezi kuwa Boss tena , Boss ndiyo anapelekewa umbea😁😁😁😁😅😂😂😂Kuna bosi kampelekea umbea mtoto wa kike inbox 😁😁😁😁
Hapana mukubwaDuh..aise ..kwahiyo wewe ni mmoja wao ?
Naunga mkono hoja kwanza Hana kazi mujini 🤣😁😁Hawezi kuwa Boss tena , Boss ndiyo anapelekewa umbea
Sifa wepesi😂una Anza kwa mbwembwe 🤓, Baadae una chimba🤣🤣
HahahahahaHapana mukubwa
aisee Leo nime amka mapema Sana, saa 11 asubui.Sifa wepesi😂
Fanya uoeaisee Leo nime amka mapema Sana, saa 11 asubui.
Cha kwanza Nika kimbilia kiporo😆,
Kwanini niruke stage 😆🤓, mchumba tu Sina. Hiyo kuoa SI ndo nita leta jehanam home🤣.Fanya uoe