Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,005
- 11,318
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukimuona Inna mwambie anakesi na mimi. Tena mimi ndio mshitaki wake na ni hakimu wa kesi hiyo. dingi mtoto pia anakesi japo yake haina uzito sana.
Mambo yanasonga best,vyuma vyangu nimeshavipaka grisi, vimelainika sasa
Uvumilivu nao kuuvumiliaa inataka moyo ankoo
Kuchangamshaa akilii nako muhimu mkuuuKumbe huwa mnakariri kwanza kabla ya misa eeeh! Basi njoo nikusaidie
Kila mgeni anayekuja hapa unanikabidhisha....inamaana nimekuwa JAMVI LA WAGENI?[emoji57] [emoji57][emoji23] [emoji23]
Yani kukwambia umkaribishe mgeni nao umekua mgao[emoji15]
Tafadhali kwa adhabu niliyoipata saivi nakuwekea hadi kamera, sio kwa spidi hiyo[emoji12]
Ndo maana nilikutetea sana huwe msimamizi wa kuhesabu sadaka ....na wakirudiii tu jioni usisahau ratiba yetuMtaka yote kwa pupa hukosa yote, mvumilivu hula mbivu!! Kesho kwakua ni misaa, nitawaambia warudi parokiani ili baba paroko apate ahueni!!
Nitakuwa nashika bibilia na kukuliza mistari inasemaje?Kuchangamshaa akilii nako muhimu mkuuu
Wewe utanisaidiajee
Hapana msaada wako hauna mashikoo ...Nitakuwa nashika bibilia na kukuliza mistari inasemaje?
Hivyo ulishapata hata kabla ya kuomba, alafu kuna ndala za skai wei mpya kabisa nimezikuta kwenye sanduku langu la mbao lazima nikuletee uzitest, hakika nitarudi na masapraiz kibao, kaa mkao wa kusapraiziwa[emoji39]Kwahiyo ulivyopata mobiteli yako, ukaenda mjini kuinunulia dola [emoji23] [emoji23]
Ukirudi huku usisahau kuniletea mbege na kisusio aisee.
Kazi njemaaa ila isiwe vitaaNaingia kwenye majukumu, mniombee!!
Kumbe baada ya kuhesabu sadaka huwa kuna ratiba ya jioni?Ndo maana nilikutetea sana huwe msimamizi wa kuhesabu sadaka ....na wakirudiii tu jioni usisahau ratiba yetu
Majukumu gani tena? Umesahau kuwa leo ni mkesha?Naingia kwenye majukumu, mniombee!!
Kawaidaa hiyo ...ndo maana tunasisitiza usiangalie matendo yangu fata maneno yanguKumbe baada ya kuhesabu sadaka huwa kuna ratiba ya jioni?
Ama kweli kila mbuzi hula kwa urefu wa kamba yake
Ndo maana nilikutetea sana huwe msimamizi wa kuhesabu sadaka ....na wakirudiii tu jioni usisahau ratiba yetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119]Njiwa wako mroho,alikunywa balimi zangu 4 akalewa akajigonga kwenye mnara wa celtel ndio akavunjika mguu
Sasa hayo ndo maneno ...wewe endelea na majukumu mm kesho nayo sikuRatiba haiwezi kusahaulika hata kwa dawa!
Sapraizi ni sapraiz isipotangazwa ikitangazwa kama hivi si supraiz tena.Hivyo ulishapata hata kabla ya kuomba, alafu kuna ndala za skai wei mpya kabisa nimezikuta kwenye sanduku langu la mbao lazima nikuletee uzitest, hakika nitarudi na masapraiz kibao, kaa mkao wa kusapraiziwa[emoji39]
Majukumu gani tena? Umesahau kuwa leo ni mkesha?
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mtaka yote kwa pupa hukosa yote, mvumilivu hula mbivu!! Kesho kwakua ni misaa, nitawaambia warudi parokiani ili baba paroko apate ahueni!!
Chukua ata 5 mbili nipitishiee kwa nyumaKuna mzee aliingiza kreti la balimi kwake, sasa nataka nikavunje hata dirisha nione kama nitaambulia balimi mbili tatu!!