Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,005
- 11,318
Hahaha afadhali nimekuona, saivi angalau nitapata usingizi pomoni, usiwe unatoroka walimu wako ovyo bhana, utatuuwa na pressure ujue[emoji6]Naona walimu mnagonganisha vichwa kumtafuta mwanafunzi wenu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siunajua huu ni msimu wa sikukuu, wadau wanaweza kumfanya kitoeo alafu salam usizipateMwaliko wangu ungempa njiwa,angenifikishia maana yeye anajua pa kunipata. Nleterewa Nganengo anamtumiaga sana kunifikishia salamu
Kumbe unalijuaaa hilooo ....ubarikiweeee
Ukimuona Inna mwambie anakesi na mimi. Tena mimi ndio mshitaki wake na ni hakimu wa kesi hiyo. dingi mtoto pia anakesi japo yake haina uzito sana.Asante sana. Tunaendelea kuwakilisha ila naona dingi mtoto na inna wameingia mitini mapema. Mambo yanaendaje?
Baba paroko kwelii make masistaa wa kanosaa siwaoniAmina baba paroko!!
[emoji23] [emoji23]Kwa mara nyingie tena umenigawa bure... Ipo siku utanikumbuka tu [emoji126]
Bado mapema sana jitahidi angalau ufike muda wa bundiMm uzalendo umenishida upopo nauweka pembeni
Kwahiyo ulivyopata mobiteli yako, ukaenda mjini kuinunulia dola [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huku ni mwendo wa kuzama kwenye mapipa ya mbege na kuibuka na supu ya mbuzi, Jana ndo nimebahatika kuipata mobiteli yangu na Leo nikaenda kununua vocha mjini bado sijarudi ndomana unaniona hewani
Ila nimekuhamu mpaka vidole vinavibrate vyenyewe nikitaipu[emoji39]
Baba paroko kwelii make masistaa wa kanosaa siwaoni
Koh koh, hivi yule njiwa nani aliyemvunja mguu? au kuna ofa ulipata ukaona umpe pancha ili mpaka apone uwe umerudi[emoji40] [emoji125]Mwaliko wangu ungempa njiwa,angenifikishia maana yeye anajua pa kunipata. Nleterewa Nganengo anamtumiaga sana kunifikishia salamu
Nitafikisha salam zako kwa hao wadauUkimuona Inna mwambie anakesi na mimi. Tena mimi ndio mshitaki wake na ni hakimu wa kesi hiyo. dingi mtoto pia anakesi japo yake haina uzito sana.
Mambo yanasonga best,vyuma vyangu nimeshavipaka grisi, vimelainika sasa
Baba paroko masista wa nini tena usiku huu?Baba paroko kwelii make masistaa wa kanosaa siwaoni
Tupo mkuu, hapa ni mpaka tufukuzwe na mwenye geti lake.Mapopo mbona mnakimbia tena kulikoni?
Uvumilivu nao kuuvumiliaa inataka moyo ankooWatakua wameenda vijijini kusambaza neno.. Vumilia vumilia!!!
Siwaoniii tatizoo make kufarijiana na kujikumbusha mawili matatu kabla ya misa ya kesho sio mbayaBaba paroko masista wa nini tena usiku huu?
Njiwa wako mroho,alikunywa balimi zangu 4 akalewa akajigonga kwenye mnara wa celtel ndio akavunjika mguuKoh koh, hivi yule njiwa nani aliyemvunja mguu? au kuna ofa ulipata ukaona umpe pancha ili mpaka apone uwe umerudi[emoji40] [emoji125]
Karibu tena kamanda, jitahidi kesho uingie level za BundizMm uzalendo umenishida upopo nauweka pembeni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njiwa wako mroho,alikunywa balimi zangu 4 akalewa akajigonga kwenye mnara wa celtel ndio akavunjika mguu
Kumbe huwa mnakariri kwanza kabla ya misa eeeh! Basi njoo nikusaidieSiwaoniii tatizoo make kufarijiana na kujikumbusha mawili matatu kabla ya misa ya kesho sio mbaya