Nenda Star Park inajaza kila siku..NaPark Msamvu kidogo kupumzisha Mzigo Kichwa... wa Moro leteni location ya kiwanja kzr
Dah nimepiga kimoja nasweat. Sema naishi na Al MurdishHii baridi sio POA, Nime maliza chai vikombe 6.
Aliye gundua Nido, ana Akili Sana.
Zinaa sio rafiki mkuu,Dah nimepiga kimoja nasweat. Sema naishi na Al Murdish
😂😁😁😁😁Zinaa sio rafiki mkuu,
View attachment 2967814
Manara, Simba ni za wapi😂🤣2:24 AM Oya sikiliza, "USIJE DAR KAMA UNAPENDA KULALAMIKA"