Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,841
- 37,579
Kahawa?Hope urassa kanishtua ikabidi nije niitike.,,,alone living room nikipata kahawa hapa...karibu sana
Acha masikhara basi.
Sahv unahitaji kumbatio mwanana.
Kahawa?Hope urassa kanishtua ikabidi nije niitike.,,,alone living room nikipata kahawa hapa...karibu sana
🤣🤣navuta muda kidogo nami nijikumbatie na blangeti🥴Kahawa?
Acha masikhara basi.
Sahv unahitaji kumbatio mwanana.
Safi sana.Me mwenyewe nipo nakula k vant hapa,liwalo na liweee.karibuni
Nimepamiss home Mbeya mama John Ilomba huko.
Sasa nipo Nanjilinji huku nalima mihogo daaah!
Acha kutuzuga bhana.🤣🤣navuta muda kidogo nami nijikumbatie na blangeti🥴
Salama kabisa mkuu. Naona umefka mapemaSafi! Unaendeleaje?
Na ninapenda kulala pekeyangu sikuzote...nikilala na mtu hatulali Kabisa..,hajaja kulala 🤒 hapa kazi tu😎Acha kutuzuga bhana.
Ila nikwambie kitu kuna wakati mwili unatakiwa ulale peke yake kitandani unagalagala mpaka moyo na nafsi zinanyoosha mikono
Yeah naondoka mapema piaSalama kabisa mkuu. Naona umefka mapema
...mapema, au we bado mwanafunzi?Yeah naondoka mapema pia
Mwalimu pia student🥴...mapema, au we bado mwanafunzi?
Wanafaidi nn mkuu?Wanandoa wanafaidiii..!
Hii mvua tutegemee watoto wengi kuzaliwa mwakani
Ahaaa si mbaya.Yeah naondoka mapema pia
Asante cute 🙏🏽🙏🏽🙏🏽👍👍
Mapambano yanaendelea.
Safi sana
Ujumbe wa kiwango Cha 5G9:48 PM Usikubali kutafutwa wakati wa shida tu kama zima moto.
Leo bwashee amewaachia kidogo mpumue, hizi mvua zimejua kuwaficha mpaka raha
We mtoto mzuri mambo vipiLeo bwashee amewaachia kidogo mpumue, hizi mvua zimejua kuwaficha mpaka raha