Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,665
- 97,418
Ukija uku unaanza kusinzia mchana. Usiku unakesha. Sijui kwa English ndio Jet Lag hiyo au? 🤣🤣Huku niliko ni saa 9 usiku.
Na sina dalili ya usingizi.
Ngoja mwezi ujao nirudi Tz tu.....
Ukija uku unaanza kusinzia mchana. Usiku unakesha. Sijui kwa English ndio Jet Lag hiyo au? 🤣🤣Huku niliko ni saa 9 usiku.
Na sina dalili ya usingizi.
Ngoja mwezi ujao nirudi Tz tu.....
HahahahahaUkija uku unaanza kusinzia mchana. Usiku unakesha. Sijui kwa English ndio Jet Lag hiyo au? 🤣🤣
Mapambano yaendelee. Tuletee mazaga zaga kutoka uko.Hahahahaha
Inanipaga tabu kidogo kuzoea
Ila nyumbani ni nyumbani tu boss.
Ma-Diaspora hapa ndo patamu
Usiwaze....Mapambano yaendelee. Tuletee mazaga zaga kutoka uko.
🤣🤣🤣🙌🏿Napenda sana wavulana bikra.
Mwambie shangazi natafuta wa kula nae urithi
Mie mwenyewe siamini...jitahidi ili uje unithibitishie mom🤣🤣😉Kwa uongeaji huo, sidhani kama ana uvulana wake
Anatutishia nyau tu hapa
🤣🤣hakuna shida subiri wakati wako mkuuTena yakiwa rahisi ndo naogopa Sana😀🤓
Ngoja nimsakaranye, nitakupa update kipenzi..Mie mwenyewe siamini...jitahidi ili uje unithibitishie mom🤣🤣😉
Shangazi hafaibkwa mchuzi au kurumangia😄🤣🤣🤣🙌🏿
Aisee hizi njama, waku niokoa ni Fake P 🤓😄Mie mwenyewe siamini...jitahidi ili uje unithibitishie mom🤣🤣😉
Shangazi Sio vizuri, mtoto wa mwenzio ni mwanao ujue😂Ngoja nimsakaranye, nitakupa update kipenzi..
Sawa love✌️Ngoja nimsakaranye, nitakupa update kipenzi..
aisee teacher una msnitch mwanafunzi 😄😂Sawa love✌️
Toka, kwendaNikiwa billionaire, Nita kununulia mgao wa hisa 2000 za amazon 😂
DuhAsanteni kwa kunikumbuka🙏🏻
Karibu kesho ukule pilau😀