JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Baba alianza kusema ongeza sauti ya redio ...ilikua usiku wa tarehe 7 mwezi April mwaka 1994 ..tukiwa tumekaa nyumbani tukitazama TvZ movie ya kihindi..ndipo redio inakatangaza juu ya ajali ya ndege iliyowabeba maraisi wawili wa Burundi na Rwanda....
Nikiamka nitaendelea
 
Kwenu mlikua na hela! Mlimiliki hadi tv
Hiyo story nimegundua inakuhusu.....
 
Wakati mama anapungza sauti ya tv na kuongeza sauti ya redio..mara simu ya mezani inaita.....Sauti ya mzee ikasikika tena punguza sauti ya redio ...Mama akamwambia kaongelee ndani ( maana kulikua na simu nyingine chumbani kwao ) akaenda kuisikiliza ...mara baada ya habari ile ..Mzee nae akawa katoka sasa hapa kdg alikuwa tofauti...
 
Wakati mama anapuza sauti ya tv na kuongeza sauti ya redio..mara simu ya mezani inaita.....Sauti ya mzee ikasikika tena punguza sauti ya redio ...Mama akamwambia kaongelee ndani ( maana kulikua na simu nyingine chumbani kwao ) akaenda kuisikiliza ...mara baada ya habari ile ..Mzee nae akawa katoka sasa hapa kdg alikuwa tofauti...
Ikawaje..
 
Back
Top Bottom