Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,227
YeahKisa wamedulishana
YeahKisa wamedulishana
😂😁😁 Personal interestMpenzi...hutoamini kuna muda unachati hadi na viongozi But mtu ukishajua Hii ni jf na ni forum private huwezi kuja piga majungu kitu mlichoongea kwa uwazi na mwenzio public...huwezi...yaan mie katika mamia niliochat nao jf nilipata asiyemstaarabu mmoja tu na niliyekuwa na malengo naye ya kweli....people knows me well lakini sijawahi ona wakija kunipiga majungu jf sasa mtu kakufahamu kipande tu then anakuja kuandikaandika tu private zako hapa.Inashusha hadhi kwa kweli
😅😂Mpenzi...hutoamini kuna muda unachati hadi na viongozi But mtu ukishajua Hii ni jf na ni forum private huwezi kuja piga majungu kitu mlichoongea kwa uwazi na mwenzio public...huwezi...yaan mie katika mamia niliochat nao jf nilipata asiyemstaarabu mmoja tu na niliyekuwa na malengo naye ya kweli....people knows me well lakini sijawahi ona wakija kunipiga majungu jf sasa mtu kakufahamu kipande tu then anakuja kuandikaandika tu private zako hapa.Inashusha hadhi kwa kweli
Hapana cute ni mtu tu anakuwa kukosa heshimajichanganye wakupitie, tuliisha zika I' d zetu za 2012-16![]()
![]()
Mie mwenyewe sina noma nae yule mwana ila alizingua mno sana kunitukana mama yangu 😭😭😭Yule tulishakwazana na nikaamua mimi kujishusha kwake
nina kastory cha kijinga sana, tangia hapo kila kitu nakiacha hapa hapaMpenzi...hutoamini kuna muda unachati hadi na viongozi But mtu ukishajua Hii ni jf na ni forum private huwezi kuja piga majungu kitu mlichoongea kwa uwazi na mwenzio public...huwezi...yaan mie katika mamia niliochat nao jf nilipata asiyemstaarabu mmoja tu na niliyekuwa na malengo naye ya kweli....people knows me well lakini sijawahi ona wakija kunipiga majungu jf sasa mtu kakufahamu kipande tu then anakuja kuandikaandika tu private zako hapa.Inashusha hadhi kwa kweli
Mimi sio tapeli comrade wangu😂😁kama ulichukua hela ya watu rudisha mapema we adui yetu![]()
Naunga mkono hojaHapana cute ni mtu tu anakuwa kukosa heshima
Usimtishie ex wangu 😂jichanganye wakupitie, tuliisha zika I' d zetu za 2012-16![]()
![]()
Alivumilia alishindwa...uliandika majungu mno humu....andika yako inawafanya wengine wajue wanaishije nawe...Mie mwenyewe sina noma nae yule mwana ila alizingua mno sana kunitukana mama yangu 😭😭😭
KUMBUKAahsante nesi wa zamu, atajibu aliyeulizwa![]()
![]()
Mimi mtu poa sana wewe mwenyewe unajua my wangu 😘Alivumilia alishindwa...uliandika majungu mno humu....andika yako inawafanya wengine wajue wanaishije nawe...
Ubarikiwe sananina kastory cha kijinga sana, tangia hapo kila kitu nakiacha hapa hapa![]()
Usiku mwema mkuu....maana hatujui ya kesho kama umeweza gombana na rafiki itashindikana vp kesho kugombana na rafiki mimi....Mungu atusaidie wana jf siye tunapita tu.Mimi mtu poa sana wewe mwenyewe unajua my wangu 😘
Siwezi kugombana na mchumba wangu ❤️ na yule sio rafiki yangu nakuheshimu sana wewe ni rafiki mzuri sana na pia ni ex wangu I love youUsiku mwema mkuu....maana hatujui ya kesho kama umeweza gombana na rafiki itashindikana vp kesho kugombana na rafiki mimi....Mungu atusaidie wana jf siye tunapita tu.