Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,227
No kuna kitu kilinikeep busy bro
No kuna kitu kilinikeep busy bro
Walikuandama sana mtoto wa General ilibidi uniiteLeo mnanikimbiza mapema sana mlinzi mimi jamani![]()
![]()
Polee🤣🤣🤣mi nimekuwa mchovu sikuhizi
Salama Mwamba...😉Poa mrembo unaendeleaje?
Asante sanaPolee
Poa poaHahahahaha,salama kabisa
Poa vip rafiki...hope umeamka salamaMambo rafiki yangu
PamojaMM na wewe tena yan hapa kamiss Chizi Maarifa na Mzee wa kupambania
😂 kivipi mkuuFake P utaua vijana wa watu😂🙌
Ni fursa hiyo kwa kilimo cha watu.Yaani yale manyunyu, ghafla ikaanza kama masikhara.
Ila raha sana ....
Pole sana mama, baridi kuna muda hata ujifunike blanket 10 bado linapenya. Kuna kipindi niliishi Arusha ilikuwa ni balaa, baridi haizoeleki muda wote ni kubebana na makoti.Mwaka juzi june nlikua marangu, aseee ile baridi....ngiri nje nje, blanket 2 ila bado ni baridi hapana aseee
We si ni luteni kanalisameja Shadow7 alikua mkuu wangu
Mtu poa sana nakubali ila sasa akili 2 😂😂😂😂😂🙌🙌🙌Daah... Kwa nini? Mbona chizi maarifa mtu poa sana?
Sasa huu ni utani wa ngumi..Poor Brain bado mtoto.
Subiri akue
😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌Naamkia kutoka huku Area C