Uchira 1
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 6,048
- 8,818
Dah nijibu au niache.mmhhh hapana sirudiiiNesi wa zamu nikumbushe leo upo sehemu gani![]()
![]()
Dah nijibu au niache.mmhhh hapana sirudiiiNesi wa zamu nikumbushe leo upo sehemu gani![]()
![]()
Wanasema ukilikataa jina ndio linazidi kukua, ngoja nikubali ili life, ita 😅Naomba nikuite nimuenzi boss wangu kidogo huku nimesimama![]()
![]()
Kawaida tu❄ si kuna baridi sana
Sitaki kuamini na wee ni mpishi mzuri wa majungulism? why mr albiii ..Ukiona nyani mjini ujue wameletwa, wana mwenyewe.
Mwenye nyani wake wamemkimbiza kwa muda 😂
View attachment 2953329
00:55
Fake P hajui kuwa sisi wengine tunakaa huku makao makuu ya singo maza dodoma na tz kwa ujumla. 😅tatizo anakaa uzungun ndo maan anahis kila mtu ni mdhungu
ReleasedWameweka online Mkuu?
Leo mnanikimbiza mapema sana mlinzi mimi jamanitatizo anakaa uzungun ndo maan anahis kila mtu ni mdhungu
😂 naomba nisijibu japo nimejibu kutokuomba kutokujibu.Sitaki kuamini na wee ni mpishi mzuri wa majungulism? why mr albiii ..![]()
![]()
nimekumbuka baba mleziDah nijibu au niache.mmhhh hapana sirudiii
baridi halizoelekiKawaida tu
Umsalimie bosi wako, ujumbe ni utavuna ulichopanda 😅Muda gani mtanisamehe kwa kila kitu, nisubirie![]()
![]()
Ngoja nikaidiwnloadReleased
Bora baridi kuliko joto mkuu.baridi halizoeleki