Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,227
🤣🤣🤣 tulia wewee🤒uchochezi tu unataka uwauzie silaha?🤣🤣
🤣🤣🤣 tulia wewee🤒uchochezi tu unataka uwauzie silaha?🤣🤣
Vin umegoma kabisa kukua ? 😳 😳Yule ni shetani tu Tena ni shetani wa kijani yaani ni nyoka wa kijani aliye laaniwa na mungu
sameja ameshakutuliza hapo mbele🤣🤣🤣🤣 tulia wewee🤒
Enhee...mchane mchane....kwanza ni nani ili kama nami ashawahi nitibua nichochee moto🤓🤒Vin umegoma kabisa kukua ? 😳 😳
sheria na utaratibu ni wa manane nukta. 🤣Tunaanza saa 1 kile kigiza tu tunacho
🤣🤣sameja ameshakutuliza hapo mbele🤣
😞sheria na utaratibu ni wa manane nukta. 🤣
Sijataja mtu my wewe si umeuliza wa afu tatu kwani humu Kuna mutu jina lake ni afu 3 🤣😁😂Mnhuu,usimwite mtu shetani jamani,kuna kukosana na kupatana...mtapatana ila mwenzio atabaki na kinyongo akikumbuka kauli zako ngumu...pleasee
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏿Sijataja mtu my wewe si umeuliza wa afu tatu kwani humu Kuna mutu jina lake ni afu 3 🤣😁😂
waislam wamefunga, na wa kwa yesu wamefunga nyie ni wa wapi hamtaki kuweka silaha chini 🤣🤣Enhee...mchane mchane....kwanza ni nani ili kama nami ashawahi nitibua nichochee moto🤓🤒
Dah! 🤣😂😁😁😁Vin umegoma kabisa kukua ? 😳 😳
Paganistswaislam wamefunga, na wa kwa yesu wamefunga nyie ni wa wapi hamtaki kuweka silaha chini 🤣🤣
Tunasikitika sisi hadhira 😌Dah! 🤣😂😁😁😁
Jamani jamani...mbona misemo na mizungu usikuusiku🙁12:39 hamjambo popoz
Naona warembo wenu washawakinbia sema moja alishasema amepata bwana hivyo yeye si mshangai
Macho mekundu mno ni ngumu kupata usingiziUsiku sipati usingizi nalala sa 11 alfajiri na kuamka sa 6 mchana kwanini?
Unaumri ganiUsiku sipati usingizi nalala sa 11 alfajiri na kuamka sa 6 mchana kwanini?
🤣🤣🤣 afu Charles tu serious...mi niagizie laptop jamani pleasee12:41 kaka Nina shida na laki 2 sijalipia Kodi nitakatiwa maji na umeme kaka nitumie hiyoo nitakulipa mwisho wa mwezi Mimi mdogo wako mpendwa from mwanza chagamba