HSE Officer
JF-Expert Member
- Apr 10, 2023
- 665
- 903
Acha uongo mzee, daku SI saa 9 usiku.
Nusu albinoo mwenzio 🤓
Huyo ni jobless katika harakati za kusaka mkate wa kila sikuNusu albinoo mwenzio 🤓
03:43Ukipigwa shavu la kushoto, geuza na la kulia upigwe vizuri
haya twenzetu mdo mdoSijapasi! Njoo twende kanisani
Dizasta vinaDsvn ndo nini huko mjini 🤒🤔
We kijana unafungaga ramadhani kweli 😂😂😂🙌🙌🙌6:13 AM
Nafunga lindo amkeni
Mi siku hizi nasikiliza nyimbo za wakorea tu🤒Dizasta vina