Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Nime staafu cheo cha Mlinzi mkuu, Kama vipi chukua form ugomvee, huenda Nika kupa nafasiš¤
Nime staafu cheo cha Mlinzi mkuu, Kama vipi chukua form ugomvee, huenda Nika kupa nafasiš¤
Nitajie wasanii watatu wa kikorea mkuuMi siku hizi nasikiliza nyimbo za wakorea tuš¤
Chanyeol, punch, taeli,Nitajie wasanii watatu wa kikorea mkuu
Ahaahhahhahah mmmmhChanyeol, punch, taeli,
Kuna 50 k, uki thibitisha Kama hao sio wasanii wa koreaAhaahhahhahah mmmmh
Ngoja nicheki wana wa town hapa mkuu...Kuna 50 k, uki thibitisha Kama hao sio wasanii wa korea
Huwezi waelewa mzee, nyie mna taka mambo ya nipite kwa ulimi tu.Ngoja nicheki wana wa town hapa mkuu...
Mi wakorea nawakubali katika movies zao tuu ila kwenye kuimba hamna kazi
Kimambo beatsHuwezi waelewa mzee, nyie mna taka mambo ya nipite kwa ulimi tu.
Wakorea Wana kazi za maana Sana, huwezi ukasema una taka kuwa producer halafu huelewi mziki
Nimeapisha vijana wapya naamini watafanya kazi vizuriNime staafu cheo cha Mlinzi mkuu, Kama vipi chukua form ugomvee, huenda Nika kupa nafasiš¤
Bado wamoto nawaona full 𤣠𤣠na mayokoNimeapisha vijana wapya naamini watafanya kazi vizuri
Hupoi...saa 5 upoš¤Bado wamoto nawaona full 𤣠𤣠na mayoko
Gwanda bado linang'aaBado wamoto nawaona full 𤣠𤣠na mayoko