JamiiForums Usiku wa manane

Jamaniiiii.....
Kwhiyo inatakikana tuishi kwa hofu au kwa amani?
Maana maandiko yanakinzana na maisha yetu tunayoishi
Tunaishi kwa utulivu kwa sababu kuna katazo la kiimani, na la kisheria (mamlaka ya kidunia); bila kuwepo na dini, kuwatawala watu kungekuwa kugumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…