Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,898
- 82,131
🤣😁😁Ile inafaa ucheki na demu kakaSema porno Sanaa, usipo kaa na lotion uta juta🤣😃😃.
👉Haipoi haiboi, hii ni 🔥 🔥
🤣😁😁Ile inafaa ucheki na demu kakaSema porno Sanaa, usipo kaa na lotion uta juta🤣😃😃.
👉Haipoi haiboi, hii ni 🔥 🔥
dah Bora waku Kate mkono😃😂, sema ngoja tuone Kama ata lipa kisasi😃🤒🤣😁😁jamaa walimkata karungu yeye daa yule mwamba ana roho mbaya sana
Shida Nuzulati ana chelewesha tarehe ya kupeleka mahari 😃😁🤣😁😁Ile inafaa ucheki na demu kaka
Kabisadah Bora waku Kate mkono😃😂, sema ngoja tuone Kama ata lipa kisasi😃🤒
🤣😁😁 AnazinguaShida Nuzulati ana chelewesha tarehe ya kupeleka mahari 😃😁
Nuzulati my lovely 💓💓💓, usi kie sass😌🏃🏃🏃🤣😁😁 Anazingua
Sema walivyo muua king of North, nili mind kinyama,
[emoji117] Afu we Charles kilian nita ku theon greyjoy [emoji1787][emoji2]
Ramsey Himself [emoji23][emoji1787][emoji16][emoji16]jamaa walimkata karungu yeye daa yule mwamba ana roho mbaya sana
Sema jofrey kafa vizuri mno, Hadi nika sema hii ni super Safi😃😂🤣.Yule Aliharibu Mwenyewe Kukataa Kuoa Mtoto Wa Fyera Akiangalia Pisi Zote Za Fyera Alizoletewa Mbele Yake Zilikuwa Mbovu Ukilinganisha Na Yule Nurse Kumbe Fyera Anafanya Mind Game, Mtoto Wake Mkali Kinyama Kamficha.
Sasa Mule Ndani Ukienda Hata Kidogo Nje Ya Rules Za Kuplay Game Of Thrones Lazima Ufe.
Ndio Maana Karibia Wote Walikwisha.
Nili tamani niingie, nimkate shingo 😄😄.Ramsey Himself [emoji23]
Sema hii series, was3nge ni wengi Charles kilianRamsey Himself [emoji23]
Kabisa kaka Tena katika season 1 na 2 wamezidi sanaSema hii series, was3nge ni wengi Charles kilian
Ndio namsubiri hapa 😅Nime ona niffer nika jua wewe, msalimie unaye msubili akupigie😁🤣
Haya 😃😂 00:32Ndio namsubiri hapa 😅
Hapo ndo wame iharibu, sijui Wana hisi wote wanao angalia ni mapimbi wenzao🤒Kabisa kaka Tena katika season 1 na 2 wamezidi sana