JamiiForums Usiku wa manane

Humu ,ndugu zangu huwa mnanifurahisha sana ,km huna maokoto ya uhakika kuwa mpolee
Chale pesa hana mpk dereva auze mafuta kwenye roli ndio amfikirie kumpa hata buku 5, basi alivyo akili hana chap anakimbilia kununua bundle aje kupooza stress huku 🀣🀣🀣
Nilimkanda mpk ananifananisha na ankal Genta dadeq
 
Chale na lamomy mnapiga kelel tu hapa, ka vipi kutaneni basi mzichape 😁 nitakuwepo kushangilia
Jeuri hiyo hana!!
Si unaona kilivyo kioga mpk kimeniblock
Sasa live si ntamvunja vunja 🀣🀣🀣🀣
Emu sister nitafutie mwingine wa kupigana naye sio huyo mtoto wa mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…