The Garang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 2,926
- 4,938
2307
Watching
Greece vs Netherland
Watching
Greece vs Netherland
shift inaendaje bossAya kumekucha sasa
mida ya 'kula ujana'😅00:06
Hakuna kulala
Kwa wenye pisi si wengine tule story tu na kina Lamomymida ya 'kula ujana'😅
unataka kusema upo single? aiseeKwa wenye pisi si wengine tule story tu na kina Lamomy
Iko poa mkuu wangu tunaendelea kukaza!shift inaendaje boss
Tatzo hautoamini ila ndio hvyo mkuu sema humu nna porojo nyingiunataka kusema upo single? aisee
Nije tupige story, niko mtaa wa Narung'ombe hapaSaa sita tulivu niko lindo nmb kariakoo ogopa matapel hii nyumba haiuzwi 12:23
Mzee story kazini?tunaharibiana kazi sasaNije tupige story, niko mtaa wa Narung'ombe hapa