JamiiForums Usiku wa manane

Kidonda ni tobo na uvimbe maana lazima akutoboe na meno na kwenye kujisiginisha anakukamata na kucha lazima utoboke na kuna ka hewa ka kukupooza anakupulizia km nusu kaputi ili usisikize maumivu uendelee kulala
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Duh kwaio panya ana analgesics?
 
Kidonda ni tobo na uvimbe maana lazima akutoboe na meno na kwenye kujisiginisha anakukamata na kucha lazima utoboke na kuna ka hewa ka kukupooza anakupulizia km nusu kaputi ili usisikize maumivu uendelee kulala
Hawa panya wa sua wale wanaofunzwa kwenda vitan๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Hawa panya wa sua wale wanaofunzwa kwenda vitan๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Sio hao nazungumzia panya hawa Hawa wa majumbani wanaotoboa kabati na kula nguo zako zote mpya ulizozinunua kwa ajili ya sikukuu
 
Sasa kwan utalala jikon? Had ukutane nae usiku..?
Panya anatembea akikosea akaingia kwako akakosa pa kutokea na hakuna chakula chumbani kwako kuna mawili aidha atakula damu yako ukiwa umelala au ataharibu vitu vyako ukiwa umelala, km huna vitu chumbani Basi wewe jiandae kua chakula Cha panya maana lazima akunyonye damu ili aushi bila hivyo atakufa bila kula atakufa kwa njaa
 
Heeh we si ndo umetuambia mlio wa mjusi unaitwa aje sijui๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿค“๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ Ni vurugu tuu hamna kitu pale.. uwoni nilivotulia nilovoona jamaa yupo serious anashusha mambo ahahah
 
Acha kututisha mkuu... Usiku huu.. Ila uzuri mi niko lindo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ akitokea ivo ataninyonya saa ngapi? Silalii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ