Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,599
Kaka izi mada mbona unatuharibia stareheeLeo ndio nimepata kucheck project ya mh mwakiembe! [emoji2957] Aisee! Ngoja nilale tu niwaachie lindo lenu wakulungwa, ila nime conclude yeyote alie mnanga au mwenye kumkebehi lazima atakua muhanga kwa namna moja au nyingine!
Sikupi ata bureSiwezi ,nitampa sumu siku ya pili afe
Nachelewaje weweπNgoja niipitie nione yaliyomo haya mambo sio kabisa
Google ili jina,utajua,au shule ulikua unatoroka kwenda kuwinda ndege uko kwenu mafingaUnataka kusema wewe mkinga sio au mbena
Hizo baadhi kama ikikubali kusoma! Kuna ya presentation aisee ni msiba ina byte nyingi sanaNgoja niipitie nione yaliyomo haya mambo sio kabisa
Nilikuwa naenda kuchuma mkalifyaGoogle ili jina,utajua,au shule ulikua unatoroka kwenda kuwinda ndege uko kwenu mafinga
Tumia iphone mwambie ur manYaani hii ni Usiku wa manane tu ndiyo Notification hizi ππ»View attachment 2571583
Mfupi kama alikuwa anapanda milima ya upareninWote tumeweka pic. Dahan bado haya tuwekee. Ila Half American ile picha mmeendana sana ππππππ
Siwezi kabisa anatumia mtoto wangu. Siyo mpenzi wa hiyo kabisa. Kuna watu wa upande huo. Mimi simo hata uniwekee 10 B siwezi. Imenishinda sipendi mtoto wa sinza BTumia iphone mwambie ur man
Uhuu poleSiwezi kabisa anatumia mtoto wangu. Siyo mpenzi wa hiyo kabisa. Kuna watu wa upande huo. Mimi simo hata uniwekee 10 B siwezi. Imenishinda sipendi mtoto wa sinza B
Nilikua upande wa pili huko mpaka usingizi umekata, nina watoto wawili mmoja wa kiume ana miaka 8 mwingine beiby gal ana 3yrs, kwa hali ilivyo natamani hata wasitoke ndani ila ndio haiwezekani! Natamani pakuche kesho asubuhi niwakute wamesha kua watu wazima bila kukutana na majini watu[emoji22][emoji24][emoji24] leo nitalala nikiwa na uzuni sana bora nisinge ona hiyo taarifaKaka izi mada mbona unatuharibia starehee
Mmeweka wapiiπππWote tumeweka pic. Dahan bado haya tuwekee. Ila Half American ile picha mmeendana sana ππππππ
Wewe omba vitu vikubwa, Biriani utakula itameng'enywa iishe. Watoto wa uswazi kwa kulaKwahiyo zwenge ndaba na Bantu Lady mmeshindwa ninulia biliani kwa nino
Pole sana mkanidhi mMumguNilikua upande wa pili huko mpaka usingizi umekata, nina watoto wawili mmoja wa kiume ana miaka 8 mwingine beiby gal ana 3yrs, kwa hali ilivyo natamani hata wasitoke ndani ila ndio haiwezekani! Natamani pakuche kesho asubuhi niwakute wamesha kua watu wazima bila kukutana na majini watu[emoji22][emoji24][emoji24] leo nitalala nikiwa na uzuni sana bora nisinge ona hiyo taarifa