Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Nimecheka eti nimeshaanza pata nafuu. Bado naumwa. Ila kusema ukweli hii ID yako hii mmmh basi acha nimezee. Nafananisha na ID zingine mbili zenye O O πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈWeeee weeee bantu wewe.....
Bantu Lady ushapata nafuu sasa unaanza kufananisha ID
UK hapa ni mchana mkuuMybe huko ulipo wewe majira yanasema ni day mkuuπ€π€π€
Sema wewe mzee wa kula kwa masihara. Nimeshasema nimechoka, mpaka nimejiunga nao π π π π πHadi mchana mnachat kwenyee huu uzi wakuuu??? au ndo mchana ushakua usiku
Huyu ni Sophy27. Tena ww binti fatisha ushauri wa bi Mkubwa wako, uolewe sasa. Mdogo wangu anakusubiria π πππ
Halafu sijui kwanini, hii ID naifananisha na ID....
Huku kwetu ni usiku mkuu ndo maana sisi kuna mda huwezi kutukuta humu..UK hapa ni mchana mkuu
Koh koh koh hapana bantu...Nimecheka eti nimeshaanza pata nafuu. Bado naumwa. Ila kusema ukweli hii ID yako hii mmmh basi acha nimezee. Nafananisha na ID zingine mbili zenye O O πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Miye namuongelea Poor Brain. Yes huyo ni Sophy27 hukuwa unajua.Huyu ni Sophy27. Tena ww binti fatisha ushauri wa bi Mkubwa wako, uolewe sasa. Mdogo wangu anakusubiria π π
Ila umeelewa eeh nikaushe ama? ππππππKoh koh koh hapana bantu...
Mi ni hi hi sina nyingine
Kuhusu kuolewa, huyo binti atakuwa anaelewa nilichoongelea, based on our last conversation kwenye haya majukwaaMiye namuongelea Poor Brain. Yes huyo ni Sophy27 hukuwa unajua.
Hivi mnadhani kila mtu anataka kuoa au kuolewa?
Hadi mchana mnachat kwenyee huu uzi wakuuu??? au ndo mchana ushakua usiku
So wengine tumefunga ndoa na ndoto, malengo na starehe zetuππ. I mean no malice to nobodyMiye namuongelea Poor Brain. Yes huyo ni Sophy27 hukuwa unajua.
Hivi mnadhani kila mtu anataka kuoa au kuolewa?
Kuna watu JF wako kupangia wengine maisha. Fanya hiki fanya kile, uliza maisha yao sasa πππππ»ππ»ππ». Mimi hapana kwa kweli, huwa nafanya nachojisikia kwa kweli. Nimeshindikana anayeniweza ni my Man tu. Naye ni vile kapenda hana jinsi πππππSo wengine tumefunga ndoa na ndoto, malengo na starehe zetuππ. I mean no malice to nobody
Mimi Bado sijakua ujueπππHuyu ni Sophy27. Tena ww binti fatisha ushauri wa bi Mkubwa wako, uolewe sasa. Mdogo wangu anakusubiria π π
ππKumbe ulikuwa unajuaMtoto Sophy27 huyu. Nishamsoma tayari π π
ππWe nope hiyo kazi, wote vijana, haina maana kunyimana π
Bantu Lady wee sio mgonjwa wala nini...Ila umeelewa eeh nikaushe ama? ππππππ
Sema ishi Sana my boss, ila nawaza hivi vichwa vyetu vingekutana, SI tungeuza nyumbaaaKuna watu JF wako kupangia wengine maisha. Fanya hiki fanya kile, uliza maisha yao sasa πππππ»ππ»ππ». Mimi hapana kwa kweli, huwa nafanya nachojisikia kwa kweli. Nimeshindikana anayeniweza ni my Man tu. Naye ni vile kapenda hana jinsi πππππ
Si unajua ukiumwa ukorofi unazidi. Yaani mimi kwa maono yangu nazioma zile ID zako zingine mbili zenye O π€π€π€πππππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈBantu Lady wee sio mgonjwa wala nini...
Wagonjwa sio wakorofi hivoπ€π€π€
Na ungekua unaiba pia vitu vya ndani..π€π€π€Sema ishi Sana my boss, ila nawaza hivi vichwa vyetu vingekutana, SI tungeuza nyumbaaa