Huu nao ni udhalilishaji ,Dahan na Bantu Lady wapo uda ngani cityyy. Maana nimeona o Bantu Lady ana zungumzia hotel za darr mpaka nimeogopaaa
Mkuu nimemuomba radhi, na ilikuwa katika utani tu.Huu nao ni udhalilishaji ,
Iceberg9 Soma hii nilicho maanisha mkuuO Bantu Lady mi nimetania kuhusu Dahan bhana, maana national kaniuliza Yuko wapi??
Afu kuhusu kuogopa, nime maanisha, when can I have the so time to do so.
πSorry Kama nimekuuzi boss
πI mean no malice to anyone
Mkuu futa hiyo post uliyo ni quote, ili Mambo yawe sawa Iceberg9Huu nao ni udhalilishaji ,
Poa kama umefanya hivyo ,lakini ni vyema uangalifu uwepo, tuko na fake id lakini mtu hawezi furahi kudhalilisha personality trait yake,Mkuu nimemuomba radhi, na ilikuwa katika utani tu.
ππ, Mi ndo wa kuomba radhi, maana nilicho maanisha ni tofauti na nilichofanyaπππͺUmetumia uungwana kuomba radhi
Nilisahau charger somewhere.. Mambo yakaishia hapooππ
Afadhali madam Bantu Lady umwambie huyu Intelligent businessman asituchukulie poa etπππKatika maisha yangu sijawahi kudanga na sitakuja kudanga. Yaani hata mimi nifilisike, kazi nitoke, pesa za mafao nizimalize zote. Still nina familia yangu namshukuru Mungu kwa wao kuwa vizuri kuwekeza sehemu mbalimbali. So kwa uwezo wa Mungu sitakuja danga. I have God I have all...
Kuhusu hotels muulize Ankol National Anthem akwambie. Mimi kiasili niko so Romantic, so vitu kama hivyo ni vidogo kwangu. Na napenda vitu vizuri sababu naweza kuafford.
Intelligent businessman una lingine?
Wewe ni lidangaπππ........ I mean no malice to anyoneAfadhali madam Bantu Lady umwambie huyu Intelligent businessman asituchukulie poa etπππ
Anaendekeza mapenzi kumbe πAisee chama Cha wezi kilitaka kumuacha ili ajifunze kutofautisha Kati ya kazi na mapenzi. Lofa Mzee wa kupambania
Yaani akikutana na mdada, badala ya kumuibia ye anaanza omba namba au kuforce kupiga kiss.Anaendekeza mapenzi kumbe π
Tukimuacha atafia kule. Maana hana mke, hana mtoto, hana mtu wa karibu π πUyo jamaa ni wakumuacha uko tu π
Wadau wanasema ningekuacha π πAsante sana bro. Moto ni ule ule π€£
πPanga mkononi
πRoho begani
Repeat πππongeza sauti piaWewe ni lidangaπππ........ I mean no malice to anyone
Kwa mtindo huo, hawezi toboa kwenye ili game πYaani akikutana na mdada, badala ya kumuibia ye anaanza omba namba au kuforce kupiga kiss.
Wanataka nikale kwao?πWadau wanasema ningekuacha π π
π π π π Itakuwa wanamtaka demu wakoWanataka nikale kwao?π
Mayai ya kienyeji au ya kisasa? Niweke alafu niunywe wote huo mchanganyiko ama?@fydell Kuna Mambo Kama matatu.πuamuzi binafsi
πChukua mayai mabichi 3, week kwenye pombe. Basi hutorudia
πWeek maziwa ya mbuzi, ukirudie njoo unipige makofi
Nilisahau charger somewhere.. Mambo yakaishia hapoo[emoji23][emoji23]