Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 4,280
- 7,968
Hata mimi nishakua addicted yaani mpaka saa tisa usiku ndo nahisi usingizi ila nikisema nilale mapema labda saa tano ntagalagala hapo lakini usingizi hauji ng'oo unaamua uamke the ukesheUutoe wapi wakati mwili umeshauzoesha lazima ikifika mida fulani uamke
HelloHello friends
Hao matajiri ndiyo kabisa hawalali imagine masikini analala mpaka saa sita mchana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii maisha hii ina raceAmkeni amkeni mnalala mna raha gani? Mmemfikia Mo au Bakhresa haya hakuna kulala, amkeni mchangamshe bongo zenu.
Amkeni hata mpige kelele vitandani mwenu...
Njoo nikupe utabiri wako 2023 kuna kitu bwana kanionyesha,utapata macha,utaolewa na mwanaume mwenye pesa mfanyabiasharaAmkeni amkeni mnalala mna raha gani? Mmemfikia Mo au Bakhresa haya hakuna kulala, amkeni mchangamshe bongo zenu.
Amkeni hata mpige kelele vitandani mwenu...
Vizuri sanaNasali saa 8 hii.
Matajiri wanalala mbona,they just tell people to work hard ili waje kuwa kama wao [emoji28]Hao matajiri ndiyo kabisa hawalali imagine masikini analala mpaka saa sita mchana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hii maisha hii ina race
Mara ya mwisho kuweka vocha ya ku scratch sijui ilikua ni mwaka ganiVocha izo voda
Mrudishie bwana sifa nae atazirudisha kwako mara dufuWee acha tu, kuna maisha unachagua inabidi Sifa na Utukufu uvirudishe kwa Muumba wa vyote.
CNN AU ALJAZIRI AU BBC AHH WE MTU MZITO BANANaangalia taarifa ya habari hapa
Mtu mwepesi sana [emoji28]CNN AU ALJAZIRI AU BBC AHH WE MTU MZITO BANA
Unapendwa pia03:00
Nilikuwepo [emoji111][emoji111][emoji111][emoji111] Nawapenda sana....
Pambana😂Dah usingizi hakuna
Hii kitu ni noma sana ni kama madawa ya kulevya ,mimi hii mida ni lazima nitasikia namna tu nistuke kama sio short call basi tu kitu kimeanguka nikisikieHata mimi nishakua addicted yaani mpaka saa tisa usiku ndo nahisi usingizi ila nikisema nilale mapema labda saa tano ntagalagala hapo lakini usingizi hauji ng'oo unaamua uamke the ukeshe
Kumbe hujajua mkuu, hakuna watu wana stress kama matajiri wanajinyima vingi muda wao mwingi anawaza ku maintain biashara ifanye vizuri ni ndiyo ameajiri lakini wao ndiyo hawapati usingiziMatajiri wanalala mbona,they just tell people to work hard ili waje kuwa kama wao [emoji28]
Vifaranga vinasemaje[emoji28]Pambana[emoji23]
Ya pesa yotePambana[emoji23]
Pambana[emoji23]
Umewezaje nikuige mkuu,yani umeamka uangalie habari CNN,BBCMtu mwepesi sana [emoji28]
Kukesha tu...Ni kama watu ndo wanaamka wanaunga tela...au ni mwendo wa kukesha tu