JamiiForums Usiku wa manane

πŸ˜‚πŸ˜‚ acha kabisa…..madeni na usingizi havipatani
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Acha mkuu, madeni ni noma. Kuna kipindi fulani baba mwenye nyumba wangu alipigiwa kelele ya mwizi, maana alikutwa anachungulia dirishani kwangu, raia wakahisi anataka kuchana nyavu. Kumbe Mzee alikuwa anasikilizia kama nipo au la? Maana ananidai alaf nilikuwa nampiga chenga sana πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…