JamiiForums Usiku wa manane

Taja herufi ya kwanza tu nitajua πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Le tombile πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wakina yinyang na paw na moderator nimewakomesha kweli kweli tena nikawa pin kabisa wafungue na account yangu ile ya ye34nbe ban inatolewa eti 26/4 karume day just imagine

Any way ngoja nione ila ule uzi wasingefunga ingekuwa kisa kingine saizi
 
Nishakumanya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hatariii pole sana. Ila kawaida bora hata una ujanja huu. Miye nitakaa nisubirie kutoka tu kifungoni. Likitokea la kutokea
 
Hv mpka ugomvi na Moderator Inakuaje mkuu nielekeze namm niwawasgie moto one Day.
 
Hv mpka ugomvi na Moderator Inakuaje mkuu nielekeze namm niwawasgie moto one Day.
Mimi niliwaunga wote pm wa 4 nikawaambia wanifungulie account yangu iliyopigwa ban since January ya ye34nbe ila wakawa wananijibu kimkatomkato

Mara ile thread fulani iliyohit jioni hii mashogs wakaingilia nikawawashia moto ulao fala likam tag mods ndo wakanipa ban ila ya tombile insfunguliwa 3/3
 
Nishakumanya πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hatariii pole sana. Ila kawaida bora hata una ujanja huu. Miye nitakaa nisubirie kutoka tu kifungoni. Likitokea la kutokea
Utapitwa na vingi jf kuna watu wazuri pia wenye madini asee siwezi kusubiri Mimi ilibidi tu niforce mazingira πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nitukane hapa basi tupate ban nasisiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚haiwezekan tukae kizembe zembe hiv
πŸ˜‚πŸ˜‚ me ngja nikae hivhiv naona siyawezi hayo ya kupigana ban .
Ila Kuna siku ntauwasha.

Kuna kipindi nataka andika matusi alaf naacha tu.

Haka kaujinga inabidi nikaache Kwa ni Ban kitu gani 😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…