Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Yeah naijua, labda yeye alisema hiyo sababu walikuwa ukutani. Ila walipotea hapo kama hakuwepo hata mmoja. Hawapendi harufu ya mafuta ya taa.Aaaaaah sema sa hivi pia kuna dawa ya unga.
Yaani ukiweka tuu mda huo huo wanapotea
Sometimes wanakela sana
Kikubwa hawang'ati wale.Wew chizi kweli unaweza lala na sisimizi wanakutembea wewe
Hata mie ningepotea weeeeh ile harufu hapanaπππππYeah naijua, labda yeye alisema hiyo sababu walikuwa ukutani. Ila walipotea hapo kama hakuwepo hata mmoja. Hawapendi harufu ya mafuta ya taa.
Kikubwa hawang'ati wale.
Yaani wee unapotezea tuu mbona simple usiweke kuwa magumu. Ingekua mbu sawa
Haupo serious wale unakomaa nao... Mwili wako una joto an wenyewe watapakimbia hapo...Nime waachia kitanda
Haupo serious wale unakomaa nao... Mwili wako una joto an wenyewe watapakimbia hapo...
Vitu vidogo hivo ahahahah
Hawanisumbui hao hata kidogo....... Yaaani nisilale kisa hao wadudu mmmh hapanaAcha utani bas ww unaweza lala nao? Njoo ulale nao
Au wanalitafuta shimoo laoπππAcha utani bas ww unaweza lala nao? Njoo ulale nao
Itakuwa huwa una waelekeza shimo lao ππHawanisumbui hao hata kidogo....... Yaaani nisilale kisa hao wadudu mmmh hapana
Sijui mi mwenzenu ni ushamba au uparoko umenizidi[emoji848][emoji848]
Leo nilienda kumcheki jamaa yangu kapanga mitaa fulani, basi hiyo nyumba wamo vijana wa Kila rika.
Kuna vijana wa kike na kiume, kilichonishangaza na kunifanya ni ghairi hata mission ilionipeleka kule ni life style yao ya ajabu.
Just imagine kijana wa kiume anashinda kutwa nzima amevaa boksa huku yuko kifua wazi[emoji848][emoji848].
Hawa mabinti ndo majanga tu, watu wnashindia vi skintight au tupensi tufupi, miksa juu kavaa singledi [emoji849][emoji849]
Duh ni hatarii
Bantu Lady National Anthem Mwachiluwi Poor Brain Dahan
Hawanisumbui hao hata kidogo....... Yaaani nisilale kisa hao wadudu mmmh hapana
Huo utaratibu hata wewe ungekaa hapo wiki tu. Ungeanza kuiga.Sijui mi mwenzenu ni ushamba au uparoko umenizidiπ€π€
Leo nilienda kumcheki jamaa yangu kapanga mitaa fulani, basi hiyo nyumba wamo vijana wa Kila rika.
Kuna vijana wa kike na kiume, kilichonishangaza na kunifanya ni ghairi hafa mission ilionipeleka kule ni life style yao ya ajabu.
Just imagine kijana wa kiume anashinda kutwa nzima amevaa boksa huku yuko kifua waziπ€π€.
Hawa mabinti ndo majanga tu, watu wnashindia vi skintight au tupensi tufupi, miksa juu kavaa singledi ππ
Duh ni hatarii
Bantu Lady National Anthem Mwachiluwi Poor Brain Dahan
Kawaida kushindia vichupi hadharaniiπ€π€Mbona kawaida
Au wanalitafuta shimoo lao[emoji23][emoji23][emoji23]
Au wanalitafuta shimoo laoπππ
Mkuu hapana aisee, miksa vinacheka cheka tu.Huo utaratibu hata wewe ungekaa hapo wiki tu. Ungeanza kuiga.
Hiyo kawaida sana japo mi hapana siwezi πππ
Kawaida kushindia vichupi hadharanii[emoji848][emoji850]
Hamna mi huwa nafata mambo yangu na wao wanafata yao kwisha....ππItakuwa huwa una waelekeza shimo lao ππ
Hao mabachelor na some many wanachuo au waajiriwa flaniNdio huku kwetu mtu anafagia na smevaa boksa au mavaa boksa ya mumewe