Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 21,443
- 65,509
Njoo unipe mbinu basi, maana Babu yako ni kama Sina bahati yaani ðŸ¤Mna bahati nyie komaeni vizuri tu
Njoo unipe mbinu basi, maana Babu yako ni kama Sina bahati yaani ðŸ¤Mna bahati nyie komaeni vizuri tu
Kweli matukio mengi yanatupita, ushamba nao! Kwenye kufake vingereza ndio najitahidi!hahahahahaha,hongera, mna kazi, kufake ndio kujifanya baadhi ya mambo na matukio huyajui ? kazi mnayo
sawa sawaKweli matukio mengi yanatupita, ushamba nao! Kwenye kufake vingereza ndio najitahidi!
Ntakutumia kwenye sgrAsante mjukuu, Fanya mpango uniletee kiko babu yako 🤗
Hahahaa usianze kucheka cheka tu mzeeAnza kunipa kidogo kidogo, si unajua umri wangu umesonga 😅
Wee nmekuona kwenye chocho fulani unaiomba si mchezo kumbe uko maeneo! Sema kaza huwez jua bahati ikakuangukia😊Kuwa na imani na Wazee, hizo nguvu zipo basi za kusalimia muda wote huo ðŸ¤
Dumu zima nazunguka nalo nakunywa au inakuwaje we mzee🤔Nimekuagizia wine dumu zima, njoo unywe mjukuu 🤗
Ukose bahati wewe asokujua nani nyoooh!Njoo unipe mbinu basi, maana Babu yako ni kama Sina bahati yaani ðŸ¤