03:1003:05
Mkesha ganiLeo huku kuna mkesha kwa mchunhaji. Mbu hao sasaa dah
03:33 bora hata ningekuwa kwenye huo mkesha wa mchungaji aisee03:10
Twende kazi 04:50Bado tupogo
04:58Twende kazi 04:50
Fanya mamboHakuna cha DM sema uko wapi nikuungeπ
Mrembo kitambo sana, uko poa?done
niko poa, sjui ww?? unavyoniita mrembo utasema n mrembo kweli nna sura ya baba mkuu, sura ngumu, sura ya kaziMrembo kitambo sana, uko poa?
Nisiseme sana nisiwaamshe waliolalaniko poa, sjui ww?? unavyoniita mrembo utasema n mrembo kweli nna sura ya baba mkuu, sura ngumu, sura ya kazi
ππππππ mie simo wakiamkaNisiseme sana nisiwaamshe waliolala
Nimecheka Sana, Sasa huyo mtu anakuwa wa namna gani??, Si jini hiloniko poa, sjui ww?? unavyoniita mrembo utasema n mrembo kweli nna sura ya baba mkuu, sura ngumu, sura ya kazi
ndio mimi huyo sasaNimecheka Sana, Sasa huyo mtu anakuwa wa namna gani??, Si jini hilo