JamiiForums Usiku wa manane

Asant ila bora nikaling'oe
 
Lilefuta la maharagwe la juu
 
Hakika usiku wa kuamkia leo nimekua mlinzi sababu ya jino
Pole sana maumivu ya jino acha kabisa. Kuna mtu jana kalalamika anaumwa jino eti hadi sikio linauma baada ya dk 2 akalala usingizi na kukuroma juu.

Ikabidi nimwamshe nimuulize ni kweli unaumwa jino wewe au unacheza, eti uumwe jino halafu upate usingizi dk 2 tuu unakoroma.
Mimi niliumwa jino mpaka nikaingia chini ya kibanda nusura niking'oe. Nenda kalitoe tuu mkuu.
 
Leo nataka tuimbe wote

Furahaa ni kuwa na marafiki
Furahaa ni kulewa na marafiki ……..[emoji441][emoji441][emoji441][emoji441]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…