Wakurungwa wanakwambia, tafuta pesa kwenza😆😆😆Nawaza Sana pesa kuliko mademu, aisee kwanza hapa nasikiliza Upendo radio naona wanapiga gospel laini sana.
Upendo FM, 107.7 FM, Dar es Salaam, Tanzania | Free Internet Radio | TuneIn
Upendo FM - Dar es Salaam, Tanzania - Listen to free internet radio, news, sports, music, audiobooks, and podcasts. Stream live CNN, FOX News Radio, and MS NOW. Plus 100,000 AM/FM radio stations featuring music, news, and local sports talk.tun.in
Haha sio kwa bongo hii mtu aweze kumiliki kiasi hicho 🙌33billion$
Mi mwenyewe nawaza sana mkwanja ila namwaza sana Aliyeniumba yaani ni kama 50 50Yaani binadamu anawaza pesa kuliko Mungu hahaha. Vitabu vinatuambia vyote ni mali za Bwana, Hana haja yakuziwaza mali zake Mungu😆
Natafuta sans utadhani Nina ugomvi nazoWakurungwa wanakwambia, tafuta pesa kwenza😆😆😆
We jiachie tu hapa, hauendi shambani baadae?😜😂ukorofi huo...ni siku tu hutokea usingiz unapaa
AmenMi mwenyewe nawaza sana mkwanja ila namwaza sana Aliyeniumba yaani ni kama 50 50
I'm following my dreams not my addictionsHaha sio kwa bongo hii mtu aweze kumiliki kiasi hicho 🙌
Haha aliyetuumba anasema muda wote tumuwaze yeye hayo mengine atashugurika nayo.😊Mi mwenyewe nawaza sana mkwanja ila namwaza sana Aliyeniumba yaani ni kama 50 50
Sasa mamanz wa nn wakati unae...wawaze wanaotafuta.Yaan hapo tafuta mkwanja huku Mungu kwanzaNawaza Sana pesa kuliko mademu, aisee kwanza hapa nasikiliza Upendo radio naona wanapiga gospel laini sana.
Upendo FM, 107.7 FM, Dar es Salaam, Tanzania | Free Internet Radio | TuneIn
Upendo FM - Dar es Salaam, Tanzania - Listen to free internet radio, news, sports, music, audiobooks, and podcasts. Stream live CNN, FOX News Radio, and MS NOW. Plus 100,000 AM/FM radio stations featuring music, news, and local sports talk.tun.in
Amen, Leo nitatoa sadaka kwa ajili yakoSasa mamanz wa nn wakati unae...wawaze wanaotafuta.Yaan hapo tafuta mkwanja huku Mungu kwanza
Oo ngoma iliisha Jana,niliweka tu mboleaWe jiachie tu hapa, hauendi shambani baadae?😜
Everybody dreams of good things in his/her life. Mungu akutie nguvu ufanikiwe katika malengo yako kijanaI'm following my dreams not my addictions
Yes I can Mungu nitie nguvu 🤠🤑
Lazima uwe na malengo yanayokutisha na kukufurahisha hapohapo hatakama nisipofikia hapo ntareach in millions of dollars 💰🤗
Hongera sana👏Oo ngoma iliisha Jana,niliweka tu
Barikiwa sana...I wish tungeenda wote ibadani.....ngoja nimtafute MTU aliyepo mbeya tuongozaneAmen, Leo nitatoa sadaka kwa ajili yako
Ndugu zangu, kiingeraza Cha Nini usiku huu? Subirini basi hata pakuche. DahEverybody dreams of good things in his/her life. Mungu akutie nguvu ufanikiwe katika malengo yako kijana
Kumbe tuko Jirani TU hapo.Barikiwa sana...I wish tungeenda wote ibadani.....ngoja nimtafute MTU aliyepo mbeya tuongozane
Kaanzisha mlinzi mwenzako 🤗🤭Ndugu zangu, kiingeraza Cha Nini usiku huu? Subirini basi hata pakuche. Dah
🤺Ndugu zangu, kiingeraza Cha Nini usiku huu? Subirini basi hata pakuche. Dah
Dah, kausingizi kangu kametowekaKaanzisha mlinzi mwenzako 🤗🤭
Haha mimi niko Mbeya, unaenda kanisa gani my dear?Barikiwa sana...I wish tungeenda wote ibadani.....ngoja nimtafute MTU aliyepo mbeya tuongozane