JamiiForums Usiku wa manane

Aic chan'gombe vijana walisha sema. Nakupongeza kwa kuomba MUNGU hakika ibada yako imepokekelewa Kama uliomba amani,upendo,na furaha nje ya hapo MUNGU ndie muamuzi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Aisee tungeitukana hiyo serikali kisha tungegoma. (Kwanini umewaza hivyo?)
Shughuli ya kukesha hapa inahitaji wito[emoji23][emoji23]
Ukilazimishwa na mwajili wako uje hapa kupiga soga nyakati kama hizi lazima utafute mwanasheria wa kukutetea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
tatizo la kukosa usingizi isomnea husababishwa na mambo yafuatayo

mawazo :msongo wa mawazo hufanya mtu kukosa usingizi hivyo hutumia muda mwingia kuchanganua baadhi ya mizunguko na changamoto za maisha. mawazo ni adui mkubwa sana kwenye afya ya akili mpka ya mwili na tabia kwa ujumla

matumizi ya computer ama simu: matumizi ya simu ya muda mrefu ni tatizo kwa kuipa kazi kubwa macho pupil na cornea ya jicho kucontrol mwanga ivo basi kukaa kwa muda mrefu kwny screaan ama tv huleta changamoto kubwa kumaintain muda wa kulala

Madawa/chemical : zipo dawa amabazo husabisha mtu kutokupata usingizi nazo n mirungi , caffein ,kahawa energy drink hizo humfanya mtu kutopata usingizi na kufanya misuli kuwa active wakati ili mtu alale anahitaji misuli irelax na mwili kuwa at rest ndo hupata usingizi

Maumivu makali /pain:Yapo magonjwa yanayoleta maumivu makali muda wote mfano cancer ,dental diseases ... maumivu makali hufanya mtu kutopata usingizi

Upweke |sonona huu n ugonjwa mkubwa kwa wali waliozoea kulala pembeni mwa wenzi wao wanapokua mbali hupata shida kupata usingizi

Makelele : kelele ni sauti ambazo hazipo kwenye mpangilio maalumu hivyo bac huleta sauti mchanganyiko ambazo huumiza ngoma ya sikio na kuleta kuchanganyiwa distabance

mwisho usingizi n bora kwa afya ya ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…