JamiiForums Usiku wa manane
Kuna katibia tulikua nako mtu akiwahi sana kufika shule anaend kupiga kengele ili watu wawahi wahesabu namba
Time keeper wetu alikuwa ni mpuuzi sana alikuwa anakaa karibu nashule kabisa anakuja kugonga kengele na nguo zake za nyumbani alafu anarudi tena kwao kulala anakuja baadaye kabisa.
 
Back
Top Bottom