Super Villain
JF-Expert Member
- Jan 2, 2019
- 9,395
- 21,060
Yupo mbona nitamleta siku zijazo kunajimbo anagombea ngoja campaing ziishe namleta.Mtoto mzuri mrembo Goddess umempeleka wapi
Ngoja hilo swala tulifikishe meza kuu tuwarudishe hao walinzi.Nipo mkuu napita pita kuna waliopotea labisaa
Tufanya namna warudi wametutenga sana
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]Anawezaje kumchukua shemeji yake [emoji4][emoji4]
Umwambie nimemmiss sanaYupo mbona nitamleta siku zijazo kunajimbo anagombea ngoja campaing ziishe namleta.
Napafahamu mzee baba...hahahaa sawasawa mkuu mimi nkaa kwa mpangala kma unapafaham,
π π Hawezi kunikosea adabu kwa hivyo maana atakuwa anataka matatizo[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Ujumbe umefika mzee wangu.Umwambie nimemmiss sana
hahhaaaa mpaka hapo sihitaji clarification zaidiNapafahamu mzee baba...
ππππππ Kwampalange ni dunia nyingine kabisa.hahahaa sawasawa mkuu mimi nkaa kwa mpangala kma unapafaham,
hahahaaa kwa nn braza[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Kwampalange ni dunia nyingine kabisa.
ππππ huyu jamaa makuzi mengi sana tatizo[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Ila huwa mna uadui wa simba na yanga nawaangaliaga tu, mmechukuliana mke wewe na Super Villain
yaishe mzee usije kuanzisha leagueπ mm snitch! sawa mkubwa.
Mnakatiba yenu na sheria zenu kabisa ni nchi ndogo kama monaco na nyinginezo π π πhahahaaa kwa nn braza
Tulia nikutafutie dawa ya nywele sawa ππyaishe mzee usije kuanzisha league
Asante sanaMtu akishukuru kwa jambo flan najisikia raha sana, ni vema kushukuru .... Kajojo i love u .....
Niko makini sijachangamka bado hata muandiko uko fiti umesimama dede kama naandikia daftari ya mistari mikubwa na midogo vile...[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] Kajojo krbu sana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Pole sana Kajojo.... Tuombe... Kama pepo ushindwe kama ni wenge sepa... binti alale unono aote njozi nzr nzr.... Sema amina! Samahani waiter nilikuwa namfanyia maombi rafiki angu bia yangu niletee niendelee... [emoji481][emoji481][emoji481][emoji481] Sina makuu na mtu!
nimekutukana bonge la tusi ππππTulia nikutafutie dawa ya nywele sawa ππ
Vizuri sanaUjumbe umefika mzee wangu.
Leo umejitahidi kuweka kambi lindoni hongera sanaUjumbe umefika mzee wangu.