BEZO JR
Platinum Member
- Jul 15, 2023
- 3,308
- 8,614
Hujalala mtoto03:00
Will be back after an hour 🤸🏽♂️✊🏾
Hujalala mtoto03:00
Will be back after an hour 🤸🏽♂️✊🏾
Ndio😆Hujalala mtoto
Shida nini mtoto,Ndio😆
Kazi za watu mkuuShida nini mtoto,
Hawk ametua baharini au nchi kavu kamanda2228
Wanna naina wanna .. hawk landed
🤣🤣 Hawk huyu sio amphibia .. anatua nchi kavu tu kamandaHawk ametua baharini au nchi kavu kamanda
FactA great awakening is realizing, no matter what you do, the one who gets more fulfiled about your actions is yourself.
So make yourself proud.
Huo ulikuwa mtego kamanda,lau.ungesema ametua baharini basi usalama wa lindo ungekuwa mdogo sana🤣🤣 Hawk huyu sio amphibia .. anatua nchi kavu tu kamanda
Huo ulikuwa mtego kamanda,lau.ungesema ametua baharini basi usalama wa lindo ungekuwa mdogo sana
Mpaka hapo lindo lina status ya nguvu ya 5/5
Safi sana
Kamanda umetumia lugha ngumu sana hapa 🤣🤣Japo napata mashaka
Hii corner inalala sana maharamia wakiambush si tutakata viuno wote sasa🤕🤕 makamanda